mkulungwa02
Senior Member
- May 24, 2020
- 193
- 154
Hahahaha hcho kiojaHahaha pale nilipojikuta napendwa na wakwe Zaidi ya mtoto wao………… Sijui kama ni kioja au ilikuwa ni bahati.
Nawapenda sana wakwe zangu. Mungu azidi kuwaweka.
maybe wanakuzuga kwa kuwa umewabebea tatizo...MAYBE....Hahaha pale nilipojikuta napendwa na wakwe Zaidi ya mtoto wao………… Sijui kama ni kioja au ilikuwa ni bahati.
Nawapenda sana wakwe zangu. Mungu azidi kuwaweka.
Tunadekeree kwa dirishaniMbona hamji?
Luckman1
Hii point pia, kikubwa kuwa makini tumaybe wanakuzuga kwa kuwa umewabebea tatizo...MAYBE....
Mbona tupoMbona hamji?
Luckman1
Hata mimi nilijua hivyo zamani ila baada ya miaka yote hii bado sijaona tatizo so far...…… Labda mwezi bado haujaandama!maybe wanakuzuga kwa kuwa umewabebea tatizo...MAYBE....
usiwe na wasiwasi mkuu, Mungu kakujaalia wakwe wazuri,na wewe wapende kupita wao maisha yawe mazuri...Hata mimi nilijua hivyo zamani ila baada ya miaka yote hii bado sijaona tatizo so far...…… Labda mwezi bado haujaandama!
Kaka sisi wengine bad tunanyonyaa TUKuna mwana jamvi yeyote amewahi kwenda ukweni akakutana na kioja chochote?
Atiririke hapa chini ili sisi tunaotarajia kwenda hivi karbuni tujifunze vipi vya kufanya na vp sio vya kufanya .........
HahahhaaKaka sisi wengine bad tunanyonyaa TU
😂😂😂😂😂