Vioja vya Watanzania kwenye page ya Davido

Vioja vya Watanzania kwenye page ya Davido

Duh kwenye page ya NeYo nako kuna vurumai si mchezo hakika hii mitandao ya kijamii hatujajua nidhamu zake
ImageUploadedByJamiiForums1437655039.758722.jpg
 
By the way we need to hear from NeYo how does he rate diamond performance
 
Hizi ni shobo zenye maana..ukiwa na shabiki wengi kama hawa safi sana..

mashabiki wa kiba walifanya hivi kwa stonebwoy tukatukanwa vibaya vibaya, leo hii unasema safi sana duh!!
 
Itafikia hatua mzungu ataanza kutengeza akili kwa ajili ya RAIA ktk nchi zinazoendelea..tumuachie mthungu afanye yake
 
mashabiki wa kiba walifanya hivi kwa stonebwoy tukatukanwa vibaya vibaya, leo hii unasema safi sana duh!!
pole sana kwa kutukanwa..binafsi sina upande..natoa credits pale ninapoona inafaa
 
Back
Top Bottom