McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,558
Duh kwenye page ya NeYo nako kuna vurumai si mchezo hakika hii mitandao ya kijamii hatujajua nidhamu zake
View attachment 270516
Duh kwenye page ya NeYo nako kuna vurumai si mchezo hakika hii mitandao ya kijamii hatujajua nidhamu zake
View attachment 270516
hii nchi ina wehu wengi sio siri, ni aibu hizi
Sijui tuite ni ujinga,ushamba ama ni comedy? cheki hii comment japokua inasikitisha ila imenivunja mbavu sana!!
View attachment 270502
Nyingine hii hapa
Duh kwenye page ya NeYo nako kuna vurumai si mchezo hakika hii mitandao ya kijamii hatujajua nidhamu zake
View attachment 270516
hahahahahaha...teh teh hii kali sana
Sio kweli jirani, kama sisi tunafujo huyu K 4 LIFE utamwitaje?
Duh kwenye page ya NeYo nako kuna vurumai si mchezo hakika hii mitandao ya kijamii hatujajua nidhamu zake
View attachment 270516
Hizi ni shobo zenye maana..ukiwa na shabiki wengi kama hawa safi sana..
Hili swala linatakiwa kupokelewa kwa mikono miwili na davido,mana lina ujazo wake aseeh!!!Jamaa anatania tu sidhani kama yupo serious !
Huyo kweli shabiki damdam milele,aendelee na moyo huohuo,labda anaweza kumuokea kiumbe mwenzake:d:d: jamaa shabiki wa nuhu
pole sana kwa kutukanwa..binafsi sina upande..natoa credits pale ninapoona inafaamashabiki wa kiba walifanya hivi kwa stonebwoy tukatukanwa vibaya vibaya, leo hii unasema safi sana duh!!