Vioja vya wema instagram!!!

Vioja vya wema instagram!!!

Mndengereko

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
7,296
Reaction score
3,398
Yaani kweli usupastaa kazi,wewa sepetu kwenye a/c yake ya instagram kapost picha inayoonyesha giza tu,picha nzima alafu chini kaandika do u miss me!?,nilipochoka zaidi eti watu wamelike 300+ sasa najiuliza walicholike nini picha ya giza,do u miss me ama nini???yaani hata gza watu wamelipenda??? Hahaha,kweli watz wakikupenda wamekupenda
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1371762825603.jpg
    uploadfromtaptalk1371762825603.jpg
    15.5 KB · Views: 1,396
shity 2...ata me nliona nkashndwa kuelewa alikuwa anamanisha nin....
 
Like zitakua kama laki 8....

Unajuaga wengine wana likig tu bila hata kujua wanacho ki like
huo ndio ukweli mkuu, yeye akifika ktk post yoyote ile akiona likes ni nyingi tu bila kujua content yakilichomo na yeye haraka sana anamimina li-like lake, hovyo hovyo tu.
 
"Like" ina maana nyingi

1. Umeona kilichopostiwa.
2. Umekipenda kilichopostiwa.

Haujaona hata habari ya msiba watu wanaLike?
 
Yaani kweli usupastaa kazi,wewa sepetu kwenye a/c yake ya instagram kapost picha inayoonyesha giza tu,picha nzima alafu chini kaandika do u miss me!?,nilipochoka zaidi eti watu wamelike 300+ sasa najiuliza walicholike nini picha ya giza,do u miss me ama nini???yaani hata gza watu wamelipenda??? Hahaha,kweli watz wakikupenda wamekupenda

ndio ujue nchi ya vipofu mwenye makengeza ni mfalme
 
Yaani kweli usupastaa kazi,wewa sepetu kwenye a/c yake ya instagram kapost picha inayoonyesha giza tu,picha nzima alafu chini kaandika do u miss me!?,nilipochoka zaidi eti watu wamelike 300+ sasa najiuliza walicholike nini picha ya giza,do u miss me ama nini???yaani hata gza watu wamelipenda??? Hahaha,kweli watz wakikupenda wamekupenda

na wewe umeipenda ndio maana umetuletea humu jamvini..
 
Kitendo tu cha wewe kuweka hili bandiko hapa, wale ambao hawajaona hiyo picha ya Wema ni kama umewapa taarifa. Wataenda huko sasa hivi kwenda kutoa likes zao
 
Lugha ya picha iyo ndugu.yan hajaonekana so u mis her thn kama wamelike atajitokeza kwa kupunch pic of her real image.
 
...nasikia ana pata hela kwa kununuliwa kweli ... papuchii yake karibu inaisha 2yrs from now itakuwa scraper.....
 
Mpaka ikichakaa,kwa speed aliyonayo,itakuwa kishaeleweka,atabaki kula mafao tu.Kila kazi inamatunda yake,ni bidii na malengo tu ndo muhimu.
 
Yaani kweli usupastaa kazi,wewa sepetu kwenye a/c yake ya instagram kapost picha inayoonyesha giza tu,picha nzima alafu chini kaandika do u miss me!?,nilipochoka zaidi eti watu wamelike 300+ sasa najiuliza walicholike nini picha ya giza,do u miss me ama nini???yaani hata gza watu wamelipenda??? Hahaha,kweli watz wakikupenda wamekupenda

mind ur own business
 
Back
Top Bottom