Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,296
- 3,398
Yaani kweli usupastaa kazi,wewa sepetu kwenye a/c yake ya instagram kapost picha inayoonyesha giza tu,picha nzima alafu chini kaandika do u miss me!?,nilipochoka zaidi eti watu wamelike 300+ sasa najiuliza walicholike nini picha ya giza,do u miss me ama nini???yaani hata gza watu wamelipenda??? Hahaha,kweli watz wakikupenda wamekupenda