Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,296
- 3,398
Ndo mambo ya instagram mkuu....
Ndio kulike giza???,akiweka picha ya nonihino je???
Duh lilkig,msamiati wa wapi huo??,yaani umenifanya nicheke sana,by the way ni birthday yangu leo thanx 4 make my day!!!Ndio kulike giza???,akiweka picha ya nonihino je???
huo ndio ukweli mkuu, yeye akifika ktk post yoyote ile akiona likes ni nyingi tu bila kujua content yakilichomo na yeye haraka sana anamimina li-like lake, hovyo hovyo tu.Like zitakua kama laki 8....
Unajuaga wengine wana likig tu bila hata kujua wanacho ki like
Yaani kweli usupastaa kazi,wewa sepetu kwenye a/c yake ya instagram kapost picha inayoonyesha giza tu,picha nzima alafu chini kaandika do u miss me!?,nilipochoka zaidi eti watu wamelike 300+ sasa najiuliza walicholike nini picha ya giza,do u miss me ama nini???yaani hata gza watu wamelipenda??? Hahaha,kweli watz wakikupenda wamekupenda

"Like" ina maana nyingi
1. Umeona kilichopostiwa.
2. Umekipenda kilichopostiwa.
Haujaona hata habari ya msiba watu wanaLike?
Ndio kulike giza???,akiweka picha ya nonihino je???
...nasikia ana pata hela kwa kununuliwa kweli ... papuchii yake karibu inaisha 2yrs from now itakuwa scraper.....