Sarikiaeli
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 971
- 1,606
Inawezekana?Alikuwa anatafuta attention kwa chama ca ccm qmeshaipata na hapo alikuwa kafungiwa sehem kapewa kibunda ...ndo namna ya kutafuta chambi kipnd hiki cha kuelekea uchaguz mkuu
Yataka moyo mkuu!Ohoo
hahahaaaaa MPUMBAVU huyu katema bungo kaogopa kuwa mdude namba mbili katiwa kidole kimoja tu kabadirika shenzi kabisa alikuwa anapima maji?Wana harakati wa NoReforms NoElection hili la VIOLA MTETEZI kugeuka ghafla baada ya tetesi fulani, kwa ujumla limewakwaza na kuleta maoni mbalimbali !
Ni nimeona video clip uko Facebook kwenye ukurasa wake bila shaka akisema hayo baada ya kutoka safarini !
Unaweza kutembelea akaunti yake kupitia link
MJINGA FULANI TUNDIYOMAANA KATEMA BUNGO KISHAUNGA JUHUDIAcheni kupausha wasengewasenge kama hawq.... Ukiambiwa ametetea nani mpaka kuwa mtetezi utajibu nini?.
Ushamba wakushadadia wataka antention mitandaoni.... Kuna uzi jana nimewaambia huyo anatafuta antentio na wala hana umhimu huo!. Cdm wajifunze kutoshadadia vijitu vya kipuuziMJINGA FULANI TUNDIYOMAANA KATEMA BUNGO KISHAUNGA JUHUDI
GT
Kwanza kafuta contents zake zote za nyuma na kurecord Video kukipigia chapuo CCM .
Kilichompata inabaki kuwa siri maana asema kwa sasa anapumzika ah aha ha ha
Lakini pia hii.si dalii nzuri,.means TZ unafiki ni mwingi sana.Kampeni ya no reform no election inajiendea yenyewe nashangaa MTU anavyoibeba na kutafuta Followers haifai Mimi huyo Dada nimeuona juzi Ila nilipomsikiliza nikajua ni kilaza anatafuta followers na umaarufu ili aje apige pesa
Chadema mmabidi kuwa makini na kusapoti watu wapumbavu wanotafuta umaarufu kwa interest zao.
Wale kina Agather wa Uganda na Mwangi wa Kenya ni mashujaaGT
Kwanza kafuta contents zake zote za nyuma na kurecord Video kukipigia chapuo CCM .
Kilichompata inabaki kuwa siri maana asema kwa sasa anapumzika ah aha ha ha
Hjafanywa walichofanywa wale wanaharakati wa kenya kweli?GT
Kwanza kafuta contents zake zote za nyuma na kurecord Video kukipigia chapuo CCM .
Kilichompata inabaki kuwa siri maana asema kwa sasa anapumzika ah aha ha ha
Lakini pia hii.si dalii nzuri,.means TZ unafiki ni mwingi sana.
Mbinu zipo nyingi sana.GT
Kwanza kafuta contents zake zote za nyuma na kurecord Video kukipigia chapuo CCM .
Kilichompata inabaki kuwa siri maana asema kwa sasa anapumzika ah aha ha ha
Umesema umemuona juzu halafu unamdharau? Binti ana followers wengi hata kabla ya "kutekwa" and hope this is why wameona wamkamate cause ana followers wengi sana both TikTok na Instagram, followers wake wengi ni wanaume.Kampeni ya no reform no election inajiendea yenyewe nashangaa MTU anavyoibeba na kutafuta Followers haifai Mimi huyo Dada nimeuona juzi Ila nilipomsikiliza nikajua ni kilaza anatafuta followers na umaarufu ili aje apige pesa
Chadema mmabidi kuwa makini na kusapoti watu wapumbavu wanotafuta umaarufu kwa interest zao.