Sarikiaeli
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 971
- 1,606
- Thread starter
- #61
Hili nalo ni neno la kutafakari !Huyu juzi akiwa amevaa t-shirt yenye maandishi ya NRNE alisema anatafutwa kwa udi na uvumba na watekaji kwa sababu ya msimamo wake.
Pengine hii u-turn ni gharama ya kununua uhuru, usalama na uhai wake ili wasi - Mdude