MJIMPYA
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 506
- 272
- Unfair: huwezi kuwa Makerere University ukawa hujui English wale sio kama sisi wababaishaji!
Willie @ NYC, USA.
Mkuu nimesikitishwa na comment yako, sikutegemea itoke kwa mtu kama wewe.
Nadhani tunajidharau sana kuliko ukweli, yahani unaona Uganda wametuzidi kiasi hicho? Kwa taarifa yako sivo, nimesoma na Waganda hapa TZ walikuwa wanaona fahari kusoma hapa kuliko vyuo vyao. (Am not talking abt language). Pamoja na mapungufu huwezi rule out kuwa wote wababaishaji!
Anyway ni kawadia watu hudhani kwa jirani ni bora kumbe la!