- Unfair: huwezi kuwa Makerere University ukawa hujui English wale sio kama sisi wababaishaji!
Willie @ NYC, USA.
KIU.. matapeli wakubwa wale,niliingia kichwakichwa nikapoteza madolari yangu nilipogundua ni fake nikasepa mapemaaaaa!! hamna kitu pale.Bro sio wote wanaosoma Uganda wapo MAKERERE, huyu binti anasoma KIU ( Kampala International University)
malecela unamtetea sana MZINDAKAYA......wote nyie ni watoto wa wazeee waleee walioitafuna na wanaoendelea kuitafuna tanzania hiii
now this is the point, hi thread haina mashiko, ila wewe ulivyoleta ya makerere ndio uliyoipeleka pabaya kusifia lugha bila kujua kuna KIU pale uganda
i wish ungekaa nae yule dada ujue utumbo wake
hahaaaaaaaa!!siyo vijana mkuu, ila ni watu wazima wanaojifanya watoto (adults pretending to be teenagers)
ahaaaaaa... samahani sana, basi nimeona FMES amekujibia halafu mnashabihiana kila kitu, kweli duniani wawili wawili
BTWm i dont need your number or something, if i need it i will ask you but displaying all those irrelevant details reveal lots about flamability of your package and how liquid can turn into vapor especially if it has a low boiling point!!!
Mkuu nimesikitishwa na comment yako, sikutegemea itoke kwa mtu kama wewe.
Nadhani tunajidharau sana kuliko ukweli, yahani unaona Uganda wametuzidi kiasi hicho? Kwa taarifa yako sivo, nimesoma na Waganda hapa TZ walikuwa wanaona fahari kusoma hapa kuliko vyuo vyao. (Am not talking abt language). Pamoja na mapungufu huwezi rule out kuwa wote wababaishaji!
Anyway ni kawadia watu hudhani kwa jirani ni bora kumbe la!
- Mkuu nakuhakikishaio kwa miungu yangu yote kwamba siogopi anything wewe nichanganye na jina lolote unalotaka, lakini ninakwambia openly kwamba jina langu ni William Malecela, picha yangu ile pale juu, namba yangu ya simu ni + 1-914-473-1033, ninaishi New York City, na soon ninaenda bongo likizo, sasa kama una ubavu wa kunitishia au anything kaa tayari, lakini usifikiri kwamba ukiniiita Field Marshall eti nitaogopa, sina chembe ya uoga mwilini mwangu never!
- Halafu nilitegemea utaweka makosa ya Vai hapa mpaka kumfungulia M-Thread wote huu, lakini sioni makosa vipi?
Willie @ NYC, USA.
Ubovu wa Elimu yetu na uduni wa maendeleo yetu umechangiwa na uwepo wa viongozi wabinafsi 'wa CCM' ambao hawakuona umuhimu wa kutengeneza mfumo thabiti wa elimu wenye manufaa kwa Watz wote kwani walijua watoto wao watasoma nje ya nchi na kufanya kazi huko. U mo than any1 here knw that better.- Sijasikia waganda na Wakenya wakija kuhangaika na shule zetu zenye majina ya Academia kuwadanganya watu, lakini tizama watoto wadogo walivyojaa huko kwao, elimu yetu imejaa ubabaishaji sana ndio maana taifa letu limedumaa yao yanaendelea, vipi mkuu mbona mifano ipo wazi kwamba elimu yao sio sawa na yetu!, si uangalie maendeleo ya mataifa yetu tu!Willie @ NYC, USA.
sikiliza wewe vapor, mimi sitishi mtu wala sihitaji kutisha mtu..., its not what god brought me here or my life purpose
nakwambia acha u-vapor, i dont need to know your number, at least if you were a pretty lady... nyambafff
i dont want to see you and there is nothing i need form you wewe william
i am happy with my life and i am free and one of the fearless hyenas out there
ukiishiwa hoja kaa kimya sio unatoa vinamba vyako vya kipumbavu hapa.... they are not relevant to my life or Tanzanians
nenda likizo usiende, its none of my business
take it from me... i dont need any thing from you except contributions and challenges on this jamii forums
give your number to all yas nat me dude
now cut the crap go for lunch and do yourself good
dang!
Ubovu wa Elimu yetu na uduni wa maendeleo yetu umechangiwa na uwepo wa viongozi wabinafsi 'wa CCM' ambao hawakuona umuhimu wa kutengeneza mfumo thabiti wa elimu wenye manufaa kwa Watz wote kwani walijua watoto wao watasoma nje ya nchi na kufanya kazi huko. U mo than any1 here knw that better.
- Great sasa tukate iishus za taifa na usidhani ninaogopa kuitwa anything I am not, kwa hiyo karibu sana tisha wengine na ID sio mimi mkuu najua ujumbe umefika, karibu sana!
- Isipokuwa nilidhani utaonyesha kosa la Vai, ameksoea nini mkuu?
Willie @ NYC, USA.
- Well, ninaongea naye mara kwa mara najua kwamba anasoma Makerere, na lets say anasoma shule nyingine pale Kampala kosa lake ni nini hasa mpaka kufunguliwa hii thread? tena JF?
Willie @ NYC, USA.
- Sijasikia waganda na Wakenya wakija kuhangaika na shule zetu zenye majina ya Academia kuwadanganya watu, lakini tizama watoto wadogo walivyojaa huko kwao, elimu yetu imejaa ubabaishaji sana ndio maana taifa letu limedumaa yao yanaendelea, vipi mkuu mbona mifano ipo wazi kwamba elimu yao sio sawa na yetu!, si uangalie maendeleo ya mataifa yetu tu!
Willie @ NYC, USA.
MAKERERE ,UD na UNIVERSITY OF NAIROBI...ndio kati ya vyuo vya kwanza afrika mashariki...especially makerere ina miaka 100....huyu dogo kakosa hadi credit za kuingia UDOM ....,Mzumbe etc.BORA angeefanya OUT tungemuelewa kuliko kwenda Kampala kununua vyeti....anafanya first degree akiwa na umri wa miaka 34 ....muda wote alikuwa wapi,alichezea wakati..sasa anatafuta qualification za ubunge wa viti vya upendeleo....baada ya kuuza sura ya U-DJ radio uhuru...amekudanganya kuwa yuko MAKERERE au na wewe unamngonga?
Violet Mzindakaya
Violet is unavailable
Has worked at CHAMA CHA MAPINDUZIStudied at kampala international universityLives in Kampala, UgandaIn a relationshipFrom Dar Es Salam, Dar Es Salaam, TanzaniaBorn on September 29, 1977

Nawachukia sana hawa Magamba.....kila kitu ni hovyo hovyo hata watoto wao! Tuanze upya bila haya Magamba kama taifa