Viongozi 32 wa Vyama vya Msingi Wakumbwa na Kesi ya Uhujumu Uchumi Igunga

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Mkuu wa mkoa wa Tabora Mhe Paul Chacha ameagiza viongozi wa vyama vya msingi vipatavyo 32 vya wakulima wa Pamba wilayani Igunga wakamatwe mara moja na kufunguliwa mashitaka ya uhujumu uchumi baada ya kubainika wamechezea mizani ya kieletroniki maarufu kama mizani janja ya kupimia uzito wa Pamba katika masoko ya zao hilo yanayoendelea hivi sasa wilayani humo ambapo wamesababisha wizi wa zaidi ya kilo laki 998,000 za Pamba zenye thamani ya fedha zaidi ya shilingi milioni 590.

Hayo yamejiri wakati wa mkutano wa dharura ulioitishwa na Mkuu wa mkoa wa Tabora Mhe Paul Chacha kufuatia ubadhirifu huo ambao umejitokeza wakati masoko ya zao hilo la Pamba yakiendelea wilayani humo.

Akitoa taarifa ya ukaguzi uliofanywa na timu ya maalumu kutoka Wizara ya Kilimo Mkurugenzi Msaidizi sehemu za Pembejeo za Kilimo Samson Poneja ameeleza kwenye kikao hicho viongozi hao wa vyama vya msingi wamekuwa katika mtandao wa kuwaibia wakulima wakishirikiana na mafundi vishoka wa mizani hizo za kieletroniki.

Chanzo: Main Fm​
 
Mkuu wa mkoa wa Tabora Mhe Paul Chacha ameagiza viongozi wa vyama vya msingi vipatavyo 32 vya wakulima wa Pamba wilayani Igunga wakamatwe mara moja na kufunguliwa mashitaka ya uhujumu uchumi baada ya kubainika wamechezea mizani ya kieletroniki maarufu kama mizani janja ya kupimia uzito wa Pamba katika masoko ya zao hilo yanayoendelea hivi sasa wilayani humo ambapo wamesababisha wizi wa zaidi ya kilo 998 za Pamba zenye thamani ya fedha zaidi ya shilingi milioni 590.

Hayo yamejiri wakati wa mkutano wa dharura ulioitishwa na Mkuu wa mkoa wa Tabora Mhe Paul Chacha kufuatia ubadhirifu huo ambao umejitokeza wakati masoko ya zao hilo la Pamba yakiendelea wilayani humo.

Akitoa taarifa ya ukaguzi uliofanywa na timu ya maalumu kutoka Wizara ya Kilimo Mkurugenzi Msaidizi sehemu za Pembejeo za Kilimo Samson Poneja ameeleza kwenye kikao hicho viongozi hao wa vyama vya msingi wamekuwa katika mtandao wa kuwaibia wakulima wakishirikiana na mafundi vishoka wa mizani hizo za kieletroniki.

Mkuu hii Bei Iko sawa?

".. kilo 998 za Pamba zenye thamani ya fedha zaidi ya shilingi milioni 590."

Hebu gawanya hapo kujiridhisha labda ulimaanisha kitu karibu na dhahabu?
 
Mkuu wa mkoa wa Tabora Mhe Paul Chacha ameagiza viongozi wa vyama vya msingi vipatavyo 32 vya wakulima wa Pamba wilayani Igunga wakamatwe mara moja na kufunguliwa mashitaka ya uhujumu uchumi baada ya kubainika wamechezea mizani ya kieletroniki maarufu kama mizani janja ya kupimia uzito wa Pamba katika masoko ya zao hilo yanayoendelea hivi sasa wilayani humo ambapo wamesababisha wizi wa zaidi ya kilo laki 998,000 za Pamba zenye thamani ya fedha zaidi ya shilingi milioni 590.

Hayo yamejiri wakati wa mkutano wa dharura ulioitishwa na Mkuu wa mkoa wa Tabora Mhe Paul Chacha kufuatia ubadhirifu huo ambao umejitokeza wakati masoko ya zao hilo la Pamba yakiendelea wilayani humo.

Akitoa taarifa ya ukaguzi uliofanywa na timu ya maalumu kutoka Wizara ya Kilimo Mkurugenzi Msaidizi sehemu za Pembejeo za Kilimo Samson Poneja ameeleza kwenye kikao hicho viongozi hao wa vyama vya msingi wamekuwa katika mtandao wa kuwaibia wakulima wakishirikiana na mafundi vishoka wa mizani hizo za kieletroniki.
View attachment 3435533
Chanzo: Main Fm​
Kazi kazi
 
Back
Top Bottom