2019
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 3,130
- 4,735
Kama inayoonekana #
1 mimi binafsi namuweka Jacob Zuma. Kwanza ana mapozi mengi sana na mapozi yote hata bila maelezo yanachekesha😆😆
Huyu ni #2 Yuweri Museveni huyu alianza na picha yake flani aliku akiangalia nyuma huku akionyesha kidole. Ilitamba sana mpaka milardayo akaipost pia.
#3 Uhuru Kenyatta.
Viongozi hao wanatengenezewa memes nyingi sana. Na wote kwa pamoja wana sura na mikao mizuri.
Je unawajua viongozi wengine tofauti na hawa? Na vipi kwa Tanzania ni nani? Unaweza kutaja kwa kuleta meme yake ili tuone.
Mods huu sio uzi wa vichekesho msije kuunganisha ni kutaka kujua tu kuhusu walengwa.