Viongozi au watu maarufu wanaoongoza kuwekwa kwenye Memes za kiswahili

2019

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2018
Posts
3,130
Reaction score
4,735

Kama inayoonekana #
1 mimi binafsi namuweka Jacob Zuma. Kwanza ana mapozi mengi sana na mapozi yote hata bila maelezo yanachekesha😆😆


Huyu ni #2 Yuweri Museveni huyu alianza na picha yake flani aliku akiangalia nyuma huku akionyesha kidole. Ilitamba sana mpaka milardayo akaipost pia.

#3 Uhuru Kenyatta.

Viongozi hao wanatengenezewa memes nyingi sana. Na wote kwa pamoja wana sura na mikao mizuri.
Je unawajua viongozi wengine tofauti na hawa? Na vipi kwa Tanzania ni nani? Unaweza kutaja kwa kuleta meme yake ili tuone.

Mods huu sio uzi wa vichekesho msije kuunganisha ni kutaka kujua tu kuhusu walengwa.
 
Robert Mugabe..
Kwa Tanzania angalau yule mzee wa sukuma ndani, na yule wa "uliskia wapi".
Mugabe sijaona kabisa zake, labda yule wa ww uliskia wap
 
Ila zuma ametia fora,utadhani alikuwa anajua aweke pozi gani likatumike wapi[emoji1][emoji1]
 
Tanzania watu kama JPM, gwajima dokta, na Mollel wanamapozi ya meme. ila ukiwatengeneza meme unaweza tupwa ndani.
 
Tanzania watu kama JPM, gwajima dokta, na Mollel wanamapozi ya meme. ila ukiwatengeneza meme unaweza tupwa ndani.
Kama gwajima ni kweli kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…