Viongozi, benchi na Wachezaji wa Simba sc wanajisikiaje Yanga SC inaposhinda kwa uhakika?

Frustration

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
3,134
Reaction score
4,124
Simba SC hawaoni aibu kwa kiwango chao? Mimi ni Simba sc ila kwa yanayoendelea kwenye frog huko inaniuma sana.

Mda mwingi najiulza kwa nini Simba wachezaji wao hawajitumi uwanjani? Uchezaji wa simba na taifa stars hakuna utofauti,kila mchezaji anajipakulia tu kadri wanavyoweza kucheza.

Simba wanacheza mpira mchafu sana hasa mafaza waliopo hata wajitumi. Hv Ahmad Ally unashndwa kuwaambia hao mafaza waige kwa Yanga?

Safari hii tunasubiri AWAKENING ya Simba baada ya kutolewa kimataifa na defence mechanism yao itakuwa kushnda vmech vya ligi ila ni too late.

Utopolo mumsaidie mnyama amechomwa na mwiba anachechemea tu.
 
Nafikiri kwa mechi hizi za Yanga si haba Simba nao wataongeza kasi ligi bado mbichi sana. Anayekimbia sana mwanzoni hukata moto mwishoni, tulieni.
 
Lawama zako hazina mashiko.
So, far Simba imecheza mechi mbili za ligi na zote imeshinda.
Ilianza Pazia la ligi kwa kuchukua ubingwa wa ngao ya jamii.
Wewe ulitakaje?
 
Aahaaaaaa
 
Huwezi kwenda pre seson kwa mafungu alafu utake matokeo kama ya Yanga.
Kocha mwenyewe wa Yanga bado hajaridhika anadai baada ya muda kidogo timu ita kaa sawa.
 
Kwani viongozi wa yanga walijiskiaje simba alipompa prison 7,horoya 7,geita 5,ihefu 6,yanga 5
4..???
 
Yaani Simba mwaka Jana ilipokuwa inashinda bao zaidi ya 6 mbona hawakuringa??

Mwaka Jana wakati Simba wanashinda magoli mengi Yanga si mlikuwa mnasema cha muhimu pointi na siyo magoli??

Mbona Sasa mnawehuka??
Kwani huwa huelewi wakisema wenye akili huko kwao ni 2???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…