Simba SC hawaoni aibu kwa kiwango chao? Mimi ni simba sc ila kwa yanayoendelea kwenye frog huko inaniuma sana.
Mda mwingi najiulza kwa nini simba wachezaji wao hawajitumi uwanjani? Uchezaji wa simba na taifa stars hakuna utofauti,kila mchezaji anajipakulia tu kadri wanavyoweza kucheza.
Simba wanacheza mpira mchafu sana hasa mafaza na mamaza waliopo hata wajitumi kama wapo labour room wamechoka sana.
Hv ahmad ally unashndwa kuwaambia hao mafaza waige kwa yanga?
Safari hii tunasubiri AWAKENING ya simba baada ya kutolewa kimataifa na defence mechanism yao itakuwa kushnda vmech vya ligi ila ni too late.
Utopolo mumsaidie mnyama amechomwa na mwiba anachechemea tu.