Viongozi, benchi na Wachezaji wa Simba sc wanajisikiaje Yanga SC inaposhinda kwa uhakika?

Makelele ni ya nini saivi? Si mlishangilia kubeba ngao ya jamii na mkasema saivi mpira wa Simba ni kupata matokeo tu wenyewe mkamsifia na kocha kuwa ni direct football Simba inacheza huku Yanga mkaiponda kwa aina ya uchezaji wao kisa hawakupata goli. Shangwe ziendelee tu mbona wachezaji wa Simba karibu wanaingia kwenye mfumo kama mlivyotabiri.
 
Yanga SC wamekua kama wamedungwa sindano ya upambanaji yaan kama Jeshi wanajitumaa mnooo.....angalia goal la max anashuti kipa anatema lkn huyohuyo anafika na kufunga.Mungu amsaidie max wasimroge dogo anamavutuuu na anawaza kwenda mbaliiiiiii.
 
Simba inawachezaji wazurii mnooo kuliko Yanga,kinachowangusha Simba ni team commetiment ndogo. Ila wanakikosi kikali kabisa ingawa pila la Kasi kama hili la Yanga ,Chamaa haliwezi Hana namba.
 
Simba inawachezaji wazurii mnooo kuliko Yanga,kinachowangusha Simba ni team commetiment ndogo. Ila wanakikosi kikali kabisa ingawa pila la Kasi kama hili la Yanga ,Chamaa haliwezi Hana namba.
Wewe unafikili ukiwa mzee kasi utaitoa wapi..na utathubutuje kusema simba inawachezaji wazuri wakati kuna wazee watupu.
Mzee anabaki na akili ila mwili unakataa..
Saido mnaemuamini mbele umri ushamtupamkono.
Shida hamtaki kuelewa.
 
Huwezi kwenda pre seson kwa mafungu alafu utake matokeo kama ya Yanga.
Kocha mwenyewe wa Yanga bado hajaridhika anadai baada ya muda kidogo timu ita kaa sawa.
Ndo maana yanga kamfunga Simba juzi, na mafungu yake.
 
Yanga SC wamekua kama wamedungwa sindano ya upambanaji yaan kama Jeshi wanajitumaa mnooo.....angalia goal la max anashuti kipa anatema lkn huyohuyo anafika na kufunga.Mungu amsaidie max wasimroge dogo anamavutuuu na anawaza kwenda mbaliiiiiii.
Kwanza ile pasi yeye aliitoa akiwa katikati ya uwanja akakimbia mpaka kwenye box akapiga shuti akapata rebound akafunga goal.
 
Simba ina P6 mechi mbili, imebeba ngao ya hisani dhidi ya Yanga hapo hapo Yanga ana P6 mechi mbili magoli 10. Ngoja tuone.
 
Simba ni timu bora na haijazidiwa uwezo na hao utopolo. Unadanganywa na utopolo wanavyo ruka ruka wakikutanana na vilaza.Simba wataitoa Dynamo ila utopolo akicheza kama anavyocheza dhidi ya al marreikh haingii makundi.
 
Yanga sio kipimo cha kiwango cha soka kwa Simba. Simba ni timu inayoendeshwa kwa utaratibu sio mihemko.
 
Yanga sio kipimo cha kiwango cha soka kwa Simba. Simba ni timu inayoendeshwa kwa utaratibu sio mihemko.
Mtake radhi bingwa wako mtetezi mengine ni kujipapatua tu usiwe mnyonge
 
Huwezi kwenda pre seson kwa mafungu alafu utake matokeo kama ya Yanga.
Kocha mwenyewe wa Yanga bado hajaridhika anadai baada ya muda kidogo timu ita kaa sawa.
Mbona Yanga mlifungwa 5-0 na Simba, kwani mlijisikiaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…