Viongozi CHADEMA kubalini ushauri

Kwa Sasa sidhani Kama Kuna mtanzania ana hamu na Mbowe. Alimleta Lowassa akasamehewa, analazimisha maridhiano akasamehewa na Sasa kulazimisha kuingia kwenye uchaguzi batili. Hata Mimi Sina hamu naye.
Wewe unafikiri kufanya siasa za ushindani afrika ni rahisi kama kuja kujiandikia lolote hapa mtandaoni.Mambo sio rahisi kama unavyofikiria.hiyo chadema bila mbowe ingeshakua mahututi kitambo.usifikiri vyama vingine vilivyokufa vilikua havina mipango yakufika mbali.Acha kutazama mambo kwa mihemko.
 
Tindo Kalamu zitto junior

Chadema wajiandae kutafuta mrithi wa Mbowe mapema.
Kamwe siwezi kumtetea Mbowe, na wala siwezi kabisa kudharau mchango wake katika chama anacho kiongoza.

Ninacho weza kuwa na uhakika juu yake ni kuwa wanachama wa chama hicho ndio wenye uamzi wa nani awaongoze katika nafasi hiyo; na mwelekeo mzima wa chama.
Sisi wengine tuliopo nje ya chama, pamoja na kushauri na kuhimiza chama hicho wakati tukiwa na matumaini juu yake kutusaidia kuondoa zimwi hili tunalo hangaishwa nalo, tutanyamaza kama chama hiki pia kitapoteza sifa ya kuipigania Tanzania.
Mbowe kafanya mengi, na kapitia kwenye majaribu makubwa; maamuzi yake ya kukumbukwa ni pamoja na kuokoa maisha ya Tundu Lissu, n.k.. Kwa haya yote binafsi nampa heshima.
Lakini muda wa kupumzika umewadia.
 
Lakini Mbowe hatakuwepo milele!

Unacho sema wewe hapa ni sawa kabisa na hao wengine wanaosema CCM ndiyo chama pekee kinacho weza kutawala Tanzania, jambo ambalo ni upuuzi mtupu.
 
Magumashi yalianza Zanzibar na yanaendelea kila baada ya miaka 5
 
Huoni kuwa wewe ni zaidi ya juha,!

Wewe una akili gani kuzidi strategists wa CHADEMA hadi ung'ang'anie wafuate mawazo yako.

Mimi sio mwanachama wa CHADEMA ila nakushangaa wewe unavyodhani unaweza kuwachuuza CHADEMA .
Kama mimi ni "juha" kama unavyo dhani wewe, ni wazi kabisa utakuwa ni chizi aliye kubuhu.

"...strategists..." unajuwa maana ya neno hilo? Wewe ni mmoja wa hao 'strategists" ndio maana umekuja hapa na kukaza shingo kama Mbowe ni mmeo?

Hebu rudi nyuma kidogo utazame ulivyo ingia kwenye mjadala huu kama hutajitambua kuwa wewe ni chizi kwelikweli.

'RMC'? Hivi umeibukia wapi hasa wewe hadi uwe na moto wa kipumbavu namna hii? Nikitazama tu uandishi wako hapa, naona ni mtu usiye kuwa na uelewa wa kutosha.
Kwa mfano: Unatumia maneno "ung'ang'anie wafuate mawazo yako"? Ni kipi kinakufanya ufikiri nang'ang'ania wafuate. Unaweza kunionyesha nilicho fanya kuwang'ang'aniza?

Kiujumla wewe ni bwege tu mmoja, pengine anaye okoteza masalia anayo acha Mbowe ili kukidhi mahitaji yako. Watu wa aina yako hamna tofauti yoyote na hao wanao jitambulisha kuwa "chawa" huko CCM.

Mwisho nataka uelewe hili, pamoja na kwamba nime kwisha kujulisha na hutaki kulitambua. CHADEMA ni chama cha waTanzania. Siyo mali yako, siyo mali ya Mbowe.
 

Inasikitisha sana
 
Wewe ni mwendawazimu .

Eti CHADEMA cha watanzania. Hakuna chama cha watanzania. Chana chochote cha siasa ni fungamano la wale wanaokublii itikadi nz falsafa zake lwa wakati fulani ndio huja pamoja kwa kuwa wanachama. Mtu anaweza kukataliwa kuwa mwamachana wa chana chochoe cha siasa ikiwa mtazamo wake kiitikadi ni tofauti na wenzake katika hicho chama.

MImi nimekueleza sio nwanachana wa CHADEMA lakini kwa sababu ya ujuha wako ndio maana nimekujibu. Humu jf watu wanatoa maoni yao tu hakuna mtu au taasisi inayolazimika kuchukua naoni hayo.
 
Angalia upumbavu huu, halafu bado hujitambui kuwa wewe ni mpumbavu. Hao unao wazungumzia kukubali itikadi siyo waTanzania?
Nimekwisha sema hapa kuwa ngazi yako ya fikra ipo chini sana. Sasa unataka tu niendelee kupoteza muda na mtu ambaye fikra zake ni hafifu sana.
Nenda kamlilie Mbowe kama anao muda wa kupoteza na watu wapuuzi kama wewe.
Sina muda huo.
 
Viongozi wa chadema utawaonea tu maana hata wasingeshiriki tlp, udp na vyama vingine rafiki wangeshiriki na lawama zingekua kwa staili tofauyi tu kwamba hamjashiriki mmewapa fursa.

Mtu pekee wa kupewa lawama ni mwananchi wa tanzania
hakika mkuu wnanch ndo tmeamua kupelekwa puta lait kam wte tungeona kuna umuhm wa kufany mageuz tungefanikisha. huwez kutgemea vyama ambavyo vinategemea selikal ya ccm kujiendesha af utgemee vitaleta upinzan wa kwel. njia pekee n wananch kuamua kusimama na kudai katiba mpya, unawez kuwa mwanzo mzul
 
Naam Wananchi tupo tupo tu kwasasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…