P Pantosha JF-Expert Member Joined Sep 22, 2022 Posts 869 Reaction score 1,282 May 11, 2025 #1 Dawa waliyopuliza LISU, HECHE, MNYIKA na Dr. SLAA ni ya kutokomeza vibaraka wote. Wataobaki ni wananchi “wanyonge” wapenda haki tu. CCM wanaweza wakajitangaza washindi coz hawataki ushindani wa kweli.
Dawa waliyopuliza LISU, HECHE, MNYIKA na Dr. SLAA ni ya kutokomeza vibaraka wote. Wataobaki ni wananchi “wanyonge” wapenda haki tu. CCM wanaweza wakajitangaza washindi coz hawataki ushindani wa kweli.
B bne JF-Expert Member Joined Oct 11, 2016 Posts 1,686 Reaction score 2,023 May 11, 2025 #2 Hujui ukisemacho. Wote hao ni wastaafu
A Administer JF-Expert Member Joined Feb 9, 2020 Posts 2,639 Reaction score 2,384 May 11, 2025 #3 Pantosha said: Dawa waliyopuliza LISU, HECHE, MNYIKA na Dr. SLAA ni ya kutokomeza vibaraka wote. Wataobaki ni wananchi “wanyonge” wapenda haki tu. CCM wanaweza wakajitangaza washindi coz hawataki ushindani wa kweli. Click to expand... Matusi ,dhihaka,kejeli,udikteta ,Ubaguzi n.k ni sera ya CHADEMA chakavu.Chama kinaongozwa na vibaka na matapeli wa siasa
Pantosha said: Dawa waliyopuliza LISU, HECHE, MNYIKA na Dr. SLAA ni ya kutokomeza vibaraka wote. Wataobaki ni wananchi “wanyonge” wapenda haki tu. CCM wanaweza wakajitangaza washindi coz hawataki ushindani wa kweli. Click to expand... Matusi ,dhihaka,kejeli,udikteta ,Ubaguzi n.k ni sera ya CHADEMA chakavu.Chama kinaongozwa na vibaka na matapeli wa siasa