Hennes kolon
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 673
- 1,294
Vibaraka kama wewe hapoWale siyo chadema kwamba wanajilipukia muda wote
Hawa jamaa , siwaelewi ujue!!Mpango nae yupo kimya na kwenye ibada jana alipigia makofi waraka
hata hivyo , kawa kimya Sana,Gwajima: Kuna jambo linakwenda Kutokea Tanzania, Asema BWANA!!
Ni Jana hiyo, unataka aseme nini tena?
Ninashauri waendelee kukaa kimya maana ndio salama ya nafsi zao kwa kuwa wakithubutu kupanua kinywa haswa kama maoni yao yataenda kinyume na mwelekeo wa serikali ni watakutana na midomo miwili ya mamba 1) serikali itawakodolea macho 2) wananchi hawatawaelewa na wataghabika kupita maelezo. otherwise they may be fixedWana bodi,
Kwa ukimya wa gwajima kiasi hiki juu ya sakata la DP WORLD! amekuwa kimya Sana na mtulivu utadhani hayupo Tanganyika!
kabudi pia kawa kimya Sana , utadhani hayupo Tanganyika.
yule mbunge wa iringa pia yuko kimya sana yaani nikama haishi tanganyika kabisaa. hatusikii maoni yao, inamaana wameamua kukaa na hekima zao vifuani mwao!?
Kama WAPINZANI wameitwa wahaini, akibwatuka Yeye ataitwa nani!!hata hivyo , kawa kimya Sana,
Tapeli eti linatabiri, hakuna kituGwajima: Kuna jambo linakwenda Kutokea Tanzania, Asema BWANA!!
Ni Jana hiyo, unataka aseme nini tena?
Sawa nyumbu wa mbowe na lissu......Vibaraka kama wewe hapo
Sasa mbona anauliziwa aseme?Tapeli eti linatabiri, hakuna kitu