Hennes kolon
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 673
- 1,294
Wana bodi,
Kwa ukimya wa Askofu Gwajima kiasi hiki juu ya sakata la DP WORLD! amekuwa kimya Sana na mtulivu utadhani hayupo Tanganyika!
kabudi pia kawa kimya sana, utadhani hayupo Tanganyika.
yule mbunge wa iringa pia yuko kimya sana yaani nikama haishi Tanganyika kabisa. hatusikii maoni yao, inamaana wameamua kukaa na hekima zao vifuani mwao!?