kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Kama tupo serious kwamba tumeanza kuamini hakuna aliye juu ya sheria na kwamba Taifa ni muhimu kuliko matamanio binafsi ya viongozi wa chama tawala Basi wafuatao wahojiwe;
1. Paul Makonda - Tukio la wazi linaloashiria jinai ni kuingia Clouds akiwa na silaha za kivita ambazo hakuna sheria inayomruhusu. Lakini pia kupitia GSM amefanya utakatishaji wa fedha ningi. Ametumia madaraka vibaya na ushahidi upo wazi.
2. Mnyeti - Akiwa mkuu wa wilaya ya arumeru alianza biashara ya wazi yakununua watu kurejea CCM. Alielekeza hatua kuchukuliwa kinyume Cha sheria za nchi.
3. Doto James - Alikuwa muidhinishaji wa fedha za umma na anatuhumiwa kufanya matumizi mabaya ya fedha kinyume na sheria ikiwemo kutoa fedha nje ya idhini ya maamuz ya bunge la bajeti.
4. Biswalo Mganga- Alitumia ofisi kufungua kesi zisizo na baraka za kisheria. Alitumia ofisi kupoka watu Uhuru na Mali.