Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Inasikitika kuwa raia wa nchi yenye viongozi wa namna hii.
Kwa lugha nyepesi hapa wooooote watu milioni 70 tumeonwa hatuna akili.
Ina maana hawa viongozi hata aibu hawana? Hata hafikirii akiwa bila suti atakuwa mtu wa namna gani?