Viongozi hutumia mafuta ya simba

Viongozi hutumia mafuta ya simba

Hemedy Jr Junior

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2023
Posts
915
Reaction score
1,082
images (9).jpeg

...Mafuta ya simba yana kazi kubwa sana katika maisha ya wawindaji waishio uko msituni (wamasai wanayatumia sana kwa kuweka ulizi wa mifugo yao na kujipaka ili kupata moli .

• Mafuta ya simba-uondoa uoga kabisa na kuwa na roho ya kikatiri pale unapochukia ,unaweza kuwa mkali misili ya simba .

• Mafuta haya wanayatumia sana viongozi wa ngazi tofauti tofauti sema sikushauri utumie me nakupa elimu tu.

Imeandaliwa na Kimodomsafi
 
Wanatumia mafuta ya simba ili wawe wakali kama simba na waogopwe. Kuna wengine wanakula moyo. Kuna kijiji walichukua mafuta yake, baada ya kuchuja mafuta wakatamani kula nyama yake. Walipokula hizo nyama waliharisha balaa. Siri ikavuja kuwa waliua simba wakachukua mafuta yake kisha wakala na nyama yake pia. Waliishia kukamatwa na wenye mamlaka ya wanyamapori
 
View attachment 2525521
...Mafuta ya simba yana kazi kubwa sana katika maisha ya wawindaji waishio uko msituni (wamasai wanayatumia sana kwa kuweka ulizi wa mifugo yao na kujipaka ili kupata moli .

• Mafuta ya simba-uondoa uoga kabisa na kuwa na roho ya kikatiri pale unapochukia ,unaweza kuwa mkali misili ya simba .

• Mafuta haya wanayatumia sana viongozi wa ngazi tofauti tofauti sema sikushauri utumie me nakupa elimu tu.

Imeandaliwa na Kimodomsafi
Kupaka tu unakua na hasira nikinywa je si ntaanza kuishi maporini kabisa
 
View attachment 2525521
...Mafuta ya simba yana kazi kubwa sana katika maisha ya wawindaji waishio uko msituni (wamasai wanayatumia sana kwa kuweka ulizi wa mifugo yao na kujipaka ili kupata moli .

• Mafuta ya simba-uondoa uoga kabisa na kuwa na roho ya kikatiri pale unapochukia ,unaweza kuwa mkali misili ya simba .

• Mafuta haya wanayatumia sana viongozi wa ngazi tofauti tofauti sema sikushauri utumie me nakupa elimu tu.

Imeandaliwa na Kimodomsafi
Huu uzi akiuona Hamorapa tumekwisha
 
Na nyama ya tembo ukitaka kula kiungo chenye ldha safi, laini na kitamu usikimbilie viungo vingine huwaga vigumu sana kuiva vikipikwa, wewe dili na mkonga tu.
Mi nilikuwa siamini!
mkonga huwa unaondolewa na kufichwa ili wanawake wasione, huenda wanaume hupewa wakale. Kuhusu nyama laini na nyama ngumu inategemea mtu amevamia upande upi, kila mtu ana upande wake wa kujikatia nyama mpaka mlima uishe. Kukata nyama za tembo ni mashoka tu hutumika, tembo ni mkubwa na ana nyama ngumu visu havitumiki. Watu wanakula mpaka makanyagio. Vitu vya ndani kama maini, moyo, utumbo, mapafu na figo hugawanywa sawa kwa sawa kila aliyepo hapo
 
Dhumuni la kuficha mkonga sijalielewa!
Wanawake wakiuona inakuwaje ama kuna madhara gani?
 
We jamaa lazima utakuwa umetokea mkoa wa Facebook umehamia na fujo zako mjini JF. .
kwani JF na FB nani kamkuta mwenzie?
mbona members wa hii mitandao miwili mpo kote kote lakini mnachukiana?
 
Mafuta ya simba ni dawa ya kienyeji, inatibu magonjwa ya sikio, upele, tetekuwanga na magonjwa mengine. Si mafuta ya simba tu hata mavi ya tembo ni dawa, hali kadhalika mavi ya nyoka. Mavi ya nyoka ni shughuli pevu kuyapata. Mavi ya tembo unaweza kuyaona yakiuzwa na wale wauza dawa za asili kado ya barabara mijini. Kuna manyoya ya sungura, pembe za wanyama mbalimbali zinatumika kwa waganga wa kienyeji. Manyoya ya mbuzi na ngozi za wanyama mbalimbali hutumiwa kwenye tiba za kienyeji. Tiba zingine ni za ajabu sana, mikojo ya wanyama, hata mkojo wa binadamu ulivundikwa juani ni dawa ya kuoshea vidonda vya kichwani
 
Back
Top Bottom