Hemedy Jr Junior
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 915
- 1,082
😂😂We jamaa lazima utakuwa umetokea mkoa wa Facebook umehamia na fujo zako mjini JF. .
Kwani kuna tatizo wa wa mkoa wa jf umefika level ganiWe jamaa lazima utakuwa umetokea mkoa wa Facebook umehamia na fujo zako mjini JF. .
😀😃😄Kwani kuna tatizo wa wa mkoa wa jf umefika level gani
Hakuna tatizo Kiongozi endelea kutupa ElmuKwani kuna tatizo wa wa mkoa wa jf umefika level gani
Nina vitu vingi 📌Kwa siku una andika thread ngapi bro
Wakuu wa wilaya wengine visasi sana ukifanya naye kazi.Kuna mkuu wa wilaya mpya kaja ananipelekesha utasema kaniajiri ngoja nikamwenyewe akinipigia simu tugombane ili aanze niogopa mpk kazi naona chungu
Kupaka tu unakua na hasira nikinywa je si ntaanza kuishi maporini kabisaView attachment 2525521
...Mafuta ya simba yana kazi kubwa sana katika maisha ya wawindaji waishio uko msituni (wamasai wanayatumia sana kwa kuweka ulizi wa mifugo yao na kujipaka ili kupata moli .
• Mafuta ya simba-uondoa uoga kabisa na kuwa na roho ya kikatiri pale unapochukia ,unaweza kuwa mkali misili ya simba .
• Mafuta haya wanayatumia sana viongozi wa ngazi tofauti tofauti sema sikushauri utumie me nakupa elimu tu.
Imeandaliwa na Kimodomsafi
Huu uzi akiuona Hamorapa tumekwishaView attachment 2525521
...Mafuta ya simba yana kazi kubwa sana katika maisha ya wawindaji waishio uko msituni (wamasai wanayatumia sana kwa kuweka ulizi wa mifugo yao na kujipaka ili kupata moli .
• Mafuta ya simba-uondoa uoga kabisa na kuwa na roho ya kikatiri pale unapochukia ,unaweza kuwa mkali misili ya simba .
• Mafuta haya wanayatumia sana viongozi wa ngazi tofauti tofauti sema sikushauri utumie me nakupa elimu tu.
Imeandaliwa na Kimodomsafi
mkonga huwa unaondolewa na kufichwa ili wanawake wasione, huenda wanaume hupewa wakale. Kuhusu nyama laini na nyama ngumu inategemea mtu amevamia upande upi, kila mtu ana upande wake wa kujikatia nyama mpaka mlima uishe. Kukata nyama za tembo ni mashoka tu hutumika, tembo ni mkubwa na ana nyama ngumu visu havitumiki. Watu wanakula mpaka makanyagio. Vitu vya ndani kama maini, moyo, utumbo, mapafu na figo hugawanywa sawa kwa sawa kila aliyepo hapoNa nyama ya tembo ukitaka kula kiungo chenye ldha safi, laini na kitamu usikimbilie viungo vingine huwaga vigumu sana kuiva vikipikwa, wewe dili na mkonga tu.
Mi nilikuwa siamini!
Dhumuni la kuficha mkonga sijalielewa!mkonga huwa unaondolewa na kufichwa ili wanawake wasione, huenda wanaume hupewa wakale. Kuhusu nyama laini na nyama ngumu inategemea mtu amevamia upande upi, kila mtu ana upande wake wa kujikatia nyama mpaka mlima uishe. Kukata nyama za tembo ni mashoka tu hutumika, tembo ni mkubwa na ana nyama ngumu visu havitumiki. Watu wanakula mpaka makanyagio. Vitu vya ndani kama maini, moyo, utumbo, mapafu na figo hugawanywa sawa kwa sawa kila aliyepo hapo
Ni imani tu, wanasema wakiuona wanaweza kuzaa watoto wenye pua ndefu kama mkonga wa temboDhumuni la kuficha mkonga sijalielewa!
Wanawake wakiuona inakuwaje ama kuna madhara gani?
kwani JF na FB nani kamkuta mwenzie?We jamaa lazima utakuwa umetokea mkoa wa Facebook umehamia na fujo zako mjini JF. .
Nina vitu vingi [emoji419]