mr_stev001
Senior Member
- Feb 4, 2023
- 159
- 220
Comment fupifupiπhapo niviongozi kutoka CAF wakipata chakakula wapo hapa nchini kuhusiana na Africa super ligi sasa najiuliza mbona cioni ata kiongozi mmoja wa π³π³π³π³au wao sio super au basi
Nahata hivii super ligii nikwatimu kubwa tyuHawamo, , anawajua nani?
Sasa mdogo anatingaje Disco.nahata hivii super ligii nikwatimu kubwa tyu
πππππniacheee kidogo mdogo anabaki home kuchec katuniSasa mdogo anatingaje Disco.
Ndo uhakika huo wa nyuma wa nyuma.πππππniacheee kidogo mdogo anabaki home kuchec katuni
Nmeona hio tyu! akili ikawaza mbali sanaNahata hivii super ligii nikwatimu kubwa tyu
jezi vaeni nyie utopolo sisi ata za M bet tunavaa tu na pesa inaingia.Badala muwe busy na serious kwenye masuala ya jezi mpo busy kulisha viongozi wa CAF daah
jezi vaeni nyie utopolo sisi ata za M bet tunavaa tu na pesa inaingia.
Ume kereka?Uzi wa kukera
Hahahaha unaijua ligi ya marekaniHalafu nadhani timu hazitakuwa zinabadilishwa kirahisi katika hii ligi, yaani wanaweza kwenda misimu kadhaa na timu hizo hizo. Sasa imagine miaka 10 ya sonona kwa ndugu zetu walee!
Ndiyo inaweza kuwa hivyo.Hahahaha unaijua ligi ya marekani
Ndio ina mfumo wa superleague humo timu hazitoki kizembe na hakuna kushushwa daraja sijui
Nmeona hio tyu! akili ikawaza mbali sana