Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Jezi hazichezi Africa Super Cup 😁Badala muwe busy na serious kwenye masuala ya jezi mpo busy kulisha viongozi wa CAF daah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jezi hazichezi Africa Super Cup 😁Badala muwe busy na serious kwenye masuala ya jezi mpo busy kulisha viongozi wa CAF daah
Jezi hazichezi Africa Super Cup 😁
kuna watu ilibidi wajipeleke kwenye mkutano wa CAF kule Arusha baada ya kuona hawajaalikwa. Hiyo pia ni kwa mujibu wa Vunja Bei 🤣 🤣 🤣kwa mujibu wa vunja bei😂😂😂
Yote hayo kwasababu yanga haipo kwa taarifa yako wanaangalia current performance na sio huo utopolo wako ulioandikaNi mashindano ambayo CAF wamelenga kupiga ela maan walichoangalia ni kigezo cha idadi ya vibe ya washabiki tu na sio kigezo cha zinazoongoza kwa ubora. Orlando pirates, Raja Casablanca ni moja ya timu zenye profile kubwa ambazo hazitoshiriki. Al Ahly kapewa mwaliko ila bado haja confirm kushiriki kwa sababu wana mashindano ya ratiba ya Arab champions cup
Ingekuwa kigezo ni Current performance basi Tp Mazembe na Horoya wasingekuwepoYote hayo kwasababu yanga haipo kwa taarifa yako wanaangalia current performance na sio huo utopolo wako ulioandika
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Current performance siyo,wasingekuja afrika mashariki,wameukuja kwa kuangalia vibe,maana insta hakuna Kama Simba dunia hii,ni point mojawapo,wangeangalia performance Simba asingekuwemoYote hayo kwasababu yanga haipo kwa taarifa yako wanaangalia current performance na sio huo utopolo wako ulioandika
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Huyo kakaririshwa, Raja Casablanca kamwacha Simba, Horoya, na Tp Mazembe mbali sana kwa performance za hivi karibuni lakini hajachukuliwa Raja ila Simba, Horoya na Tp Mazembe wamechukuliwa.Current performance siyo,wasingekuja afrika mashariki,wameukuja kwa kuangalia vibe,maana insta hakuna Kama Simba dunia hii,ni point mojawapo,wangeangalia performance Simba asingekuwemo
Humwoni manara hapo au dharau?Hapo niviongozi kutoka CAF wakipata chakakula wapo hapa nchini kuhusiana na Africa super ligi sasa najiuliza mbona cioni ata kiongozi mmoja wa [emoji269][emoji269][emoji269][emoji269]au wao sio super au basi.
View attachment 2520026
Utopolo kwa kujipa matumaini hamjamboNi mashindano ambayo CAF wamelenga kupiga ela maan walichoangalia ni kigezo cha idadi ya vibe ya washabiki tu na sio kigezo cha zinazoongoza kwa ubora. Orlando pirates, Raja Casablanca ni moja ya timu zenye profile kubwa ambazo hazitoshiriki. Al Ahly kapewa mwaliko ila bado haja confirm kushiriki kwa sababu wana mashindano ya ratiba ya Arab champions cup
Mashindano yakianza simba anavuta bil 5.4 chapkwa mujibu wa vunja bei😂😂😂
Kwani hersi hayuko front btw ulitaka akae nani mangungu?Kwenye masuala ya oesa, Mudi anaingia frontline mwenyewe. Huyu jamaa bana!
kila kanda lazima itoe timu,Huyo kakaririshwa, Raja Casablanca kamwacha Simba, Horoya, na Tp Mazembe mbali sana kwa performance za hivi karibuni lakini hajachukuliwa Raja ila Simba, Horoya na Tp Mazembe wamechukuliwa.
Kanda zipo tatu kila kanda inatakiwa itoe timu nane. Jumla ya timu zinazotakiwa ni 24kila kanda lazima itoe timu,
sasa kanda ya kaskazini kule wababe wengi...
kanda ya cecafa ni simba, central mazembe, west (sijui), north west ni horoya, cosafa ni mamelodi, north ni al ahly,.......
haya kuna wengine wataongezeka sijui ndio vigezo gani watatumia
Ha ha ha hata ya mke wangu si yangu.Basi sawa.Kei yako wewe🤣🤣🤣
haaaa kumbe kuna manaraa pale