Ni sawa ulichosema,lakini kama nitakumbuka hao unaowasema wa chadema,inaonyesha wamefukuzwa bila barua kwenda kwa speaker na pia taratibu zinachanganya,maana wamekata rufaa kwenye chama cha chadema na maamuzi bado hayajatoka!Na mimi nikaelewa vizuri na pili hawa ni wakina mama kwa nini wakomaliwe kufukuzwa?!;!Hapo sasa.