Viongozi mbalimbali wa serikali wakiwa katika kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru 2026 mkoani Rukwa

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
📍Uwanja wa CCM Nelson Mandera, Sumbawanga

Baadhi ya Viongozi wa Serikali wakiwa pamoja katika Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru 2026, Sumbawanga Mkoani Rukwa.

Mwenge wa Uhuru unaendelea kuwa alama ya umoja, uzalendo na uwajibikaji wa pamoja. Ni jukwaa linalounganisha Serikali na wananchi katika kutathmini miradi ya maendeleo na kuhamasisha mshikamano wa kitaifa.

Umoja wetu ndio nguvu ya maendeleo yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…