Viongozi Msiopenda kuulizwa nyie ni akina nani?

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
wakuu

=====

Viongozi wengi nchini Tanzania wakiulizwa kuhusu ukweli wa mambo wameonakana kuwa wakali sana ivi kiongozi asiyependa kuulizwa jambo anafaa kuwa kiongozi wa wananchi kweli?

Tumsikilize dada yetu kwa umakini sana Amewagusa viongozi ambao hawapendi kuulizwa

uliza mambo ya maana sasa na sio kuuliza ili kutafuata kiki na public tension
 
Back
Top Bottom