Viongozi na Ustaarabu wa kusakata Rumba

mluga

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2010
Posts
676
Reaction score
215
Hebu tulinganishe hapa, nini kinajiri
 
Attachments

  • kagame.jpg
    27.8 KB · Views: 199
Hiyo ya Kapuya mbona ni kama disco vumbi jamaa wamevaa kandambili (malapa) ni wapi hiyo?
 
mmmh i wish ningemuona sura huyo mama/madada anayecheza na kagame... she seems to be sooooo hoooot.....mmh rwandese wanaonekana wakali kinoma... i think its worth going there for sightseeing in one of these dayz
 
Mawazo yake hayapo kwenye disco kabisa, inaonekana anawaza maslahi ya nchi yake tuu

Kapuya bila shaka anachakachua tiGo namwona anasilikilizia!
 
Kapuya bila shaka anachakachua tiGo namwona anasilikilizia!
Alahaula walakwata! Mgaya wa TUCTA akiiona hii atajuta kwa nini alikuwa anapoteza nguvu kubwa kulumbana na mzee Akudo. Mzee ni wa kujirusha kwa sana sio kukaa na kutafakari kwa kina maswali magumu
 
Alahaula walakwata! Mgaya wa TUCTA akiiona hii atajuta kwa nini alikuwa anapoteza nguvu kubwa kulumbana na mzee Akudo. Mzee ni wa kujirusha kwa sana sio kukaa na kutafakari kwa kina maswali magumu

Huyu jamaa ndio alikuwa Waziri wa Elimu Kweli. Ndio Maana Elimu ilishuka huwezi kuongozwa na Mtu mwenye hulka/tabia za aina hii. Nido maana watoto wa shule enzi hizo walitwa Kapuya!!!!.
 
Hiyo ya Kapuya mbona ni kama disco vumbi jamaa wamevaa kandambili (malapa) ni wapi hiyo?

Yeye mwenyewe ana 'kubazi'! Naona wengi walikuwa wanacheza hivyo labda alikuwa naye anafanya vile wafanyavyo waroma.
 
JAMANI HEBU ANGALIENI VIZURI HUO MKONO WA KAPUYA UNAINGIA WAPI?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…