Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hiyo ya kapuya ni sensational
kweli watanzania hatunaga viongozi.![]()
kapuya bila shaka anachakachua tigo namwona anasilikilizia!
Hiyo ya Kapuya mbona ni kama disco vumbi jamaa wamevaa kandambili (malapa) ni wapi hiyo?
Alahaula walakwata! Mgaya wa TUCTA akiiona hii atajuta kwa nini alikuwa anapoteza nguvu kubwa kulumbana na mzee Akudo. Mzee ni wa kujirusha kwa sana sio kukaa na kutafakari kwa kina maswali magumu![]()
Kapuya bila shaka anachakachua tiGo namwona anasilikilizia!
Hebu tulinganishe hapa, nini kinajiri
Alahaula walakwata! Mgaya wa TUCTA akiiona hii atajuta kwa nini alikuwa anapoteza nguvu kubwa kulumbana na mzee Akudo. Mzee ni wa kujirusha kwa sana sio kukaa na kutafakari kwa kina maswali magumu
Hiyo ya Kapuya mbona ni kama disco vumbi jamaa wamevaa kandambili (malapa) ni wapi hiyo?