Viongozi na Watu Mashuhuri watakaohudhuria mazishi ya Papa Francis

Kuna mtu safari za nje zimeanza kuwa shubiri. Usalama hati hati.
 
Hao ni mashuhuri? Mbona wengi ni majizi TU!
 
Watawekwa kwenye costa/bus kama walivyofanyiwa kwa Queen au
 
Wasije wakapakizwa kwenye mabasi kama London

Halafu habari ya leo majuu huku kila sehemu wana laani vijana wa siku hizi
Wanapita kuomboleza huku wakipiga selfie 🤳 na kucheka

Kweli dunia imebadilika sana, vilio na maiti yamekuwa mzaha sana
 
Putin??????
Kim Jong Un????
 
mbona mwijaku haendi?
 
Jamaa Hana hata familia inayomtegemea, sijui wanaenda kumfariji Nani.
Kama kuhudhuria misiba ishu ni marehemu kuacha familia anapokufa mtoto mdogo watu wakaenda kushiriki mazishi anakuwa ameacha familia ya watoto wangapi?
 
Hahaha 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 #. 16 na 18
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…