figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Ulienda kuwaona mkuu?Mungu awape nguvu[emoji1545]
CNN siyo TBC mzee wangu.Yamewashinda!
Kama kungelikuwa na sheria inayosema ukiwa nje ya ccm hutakiwi kubisha kwa kinachoamuliwa kule, kwamba ukibisha basi wewe nigaidi, watu wenye akili kama zako msingeruhusiwa hata kufungua madomo. Ilikuwa ukipiga mwayo kabla hujatoa hicho kinyesi mdomoni, unapelekewa. Pumbavu sana jitu kama wewe.Wakileta tena ujinga , sweka tena ndani hatuwezi kuwa na watu wanabishia kila kitu
Wakileta tena ujinga , sweka tena ndani hatuwezi kuwa na watu wanabishia kila
kwani walibisha nnWakileta tena ujinga , sweka tena ndani hatuwezi kuwa na watu wanabishia kila kitu
Sasa ni wabishi sio magaidi tena??Wakileta tena ujinga , sweka tena ndani hatuwezi kuwa na watu wanabishia kila kitu
Kwahy mmepata mtetezi mpya CNNCNN siyo TBC mzee wangu.
Kukamata magaidi kama mbowe, wao!Ila polisi wa nchi hii wanapenda sana kujidhalilisha!! Rushwa wao! Kuumiza na kuwajeruhi wapinzani, wao! kuua watuhumiwa, wao! Kubambikia watu kesi, wao!! Kuwatumikia ccm, wao!
Wale wote walikuwa ni kama chambo tu,target ilikuwa ni Mbowe na mpaka sasa akitoka hataweza kuwa kiranga kama alichokuwa nacho.Walikosa pozi la kuendelea kuwashikilia! Maana 'gaidi' wao waliyemtafuta kwa miaka mingi, walishamkamata!
Ila polisi wa nchi hii wanapenda sana kujidhalilisha!! Rushwa wao! Kuumiza na kuwajeruhi wapinzani, wao! kuua watuhumiwa, wao! Kubambikia watu kesi, wao!! Kuwatumikia ccm, wao!
Jeshi la ajabu kabisa hili!