Viongozi nane wa CHADEMA waachiwa huru

Punguza munkari kamanda utapasuka bure. Hata ukitukana watu haisaidii, mwenyekiti bado ataendelea kunyea kwenye ndoo. Take it easy bwashee
 
Siku hizi Tanzania kosa la ugaidi na kupanga njama za kuua viongozi ni kosa simple simple tu kama kumtukana jirani kiasi kwamba kuachiwa huru ni fasta sana au mimi ni mshamba sijaelewa?!Nifafanulieni please!
 
Polish wanatumwa
 
Wee mpare gani unasapoti ujiinga wa nchi hii?
 
Wamesha jua kina cha maji hawatarudia kuweka miguu yote tena
 
Kuna vitu vinachekesha sana. Hivi “terrorists” mnawajua nyie? The day Al Shabab wakitia team na kutoa demo moja tu nadhani ndio tutaelewa.
 
Lwaitama nadhani yupo kwenye genge la kigaidi ataunganishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…