Best home tutor
Senior Member
- May 8, 2026
- 194
- 268
Tanzania kuna viongozi wengi lakini wapo baadhi nilikua nawakubali japo pengine sio wasafi sana Ila nilikua nahisi wana maarifa angalau hawakua vituko.
Hawa ni baadhi tu ya viongozi ambao nahisi zilikua zinacharge Ila ndio hvyo tatizo mfumo ko usiwalaumu sana kama kuna sehemu waliwahi kuzingua
- Kasimu Majaliwa
- Tulia akson
- Geogre Simbachawene
- Jokate mwegelo
- Umy mwalimu
- Bashungwa
Hawa ni baadhi tu ya viongozi ambao nahisi zilikua zinacharge Ila ndio hvyo tatizo mfumo ko usiwalaumu sana kama kuna sehemu waliwahi kuzingua
