Best home tutor
Senior Member
- May 8, 2026
- 194
- 268
nchi hii ni yetu sote na kila moja angefurahi kulitumikia taifa kadiri awezavyo.Tanzania kuna viongozi wengi lakini wapo baadhi nilikua nawakubali japo pengine sio wasafi sana Ila nilikua nahisi wana maarifa angalau hawakua vituko.
1.Kasimu Majaliwa
2.Tulia akson
3.Geogre Simbachawene
4.Jokate mwegelo
5.Umy mwalimu
6.Bashungwa
Hawa ni baadhi tu ya viongozi ambao nahic zilikua zinacharge Ila ndio hvyo tatizo mfumo ko usiwalaumu sana kama kuna sehemu waliwahi kuzingua
Tatizo mnaangalia title mfano professor ,Dr ambazo hizi hazina impact kama mifumo imepararaizi lakini wapeni action plan yenye time frame ,unajua gentleman watanzania wengi sasa hivi wamesoma wanaelewa mambo sasa ukiweka mtu analeta majibu ya vijiwe vya kahawa na cheap politics inakua changamoto ukizingatia yeye kiongozi mfano unakuta waziri wa elimu anaulizwa swali hana majibu sahihi kwa sababu kwanza hana uzoefu na wizara ndio kwanza ana wiki mbili kapata teuzi bungeni anaulizwa swali halijibiwi ipazavyo .nchi hii ni yetu sote na kila moja angefurahi kulitumikia taifa kadiri awezavyo.
Tanzania ina hazina ya wachapakazi hodari na wazalendo mno, na wala hakuna sababu hata moja ya kuwanyima nafasi wengine nao kuonyesha weledi wao katika kulitumikia taifa lao, na wengine wakae pembeni 🐒
Tulia ana akili Sema hatujajua kutumia akili zake ,ulivyokua unamuona kobe juu ya mti ujue kapandishwa.Yule big brain Sema sasa ndio hivyo alikua ana autonomy. Unajua Tulia ni watu akina Tibaijuka.Tulia ulikua unamkubali kwann?
Gentleman,Tatizo mnaangalia title mfano professor ,Dr ambazo hizi hazina impact kama mifumo imepararaizi lakini wapeni action plan yenye time frame ,unajua gentleman watanzania wengi sasa hivi wamesoma wanaelewa mambo sasa ukiweka mtu analeta majibu ya vijiwe vya kahawa na cheap politics inakua changamoto ukizingatia yeye kiongozi mfano unakuta waziri wa elimu anaulizwa swali hana majibu sahihi kwa sababu kwanza hana uzoefu na wizara ndio kwanza ana wiki mbili kapata teuzi bungeni anaulizwa swali halijibiwi ipazavyo .
Tulia ana akili Sema hatujajua kutumia akili zake ,ulivyokua unamuona kobe juu ya mti ujue kapandishwa.Yule big brain Sema sasa ndio hivyo alikua ana autonomy. Unajua Tulia ni watu akina Tibaijuka.
Tatizo mkuu unajibu vitu kisiasa zaidi lakini sio kiprofessional na hili jambo limepeleka nchi yetu unafiki umekua utamaduni mzuri mfano unakuta barabara ina Mashimo kila sehemu Ila njia nzima kuna mabango "mama hatukudai"Gentleman,
katika nafasi za uongozi wa kisiasa,
title au elimu si muhimu sana bali interests.
na kwenye kujibu maswali,
hua hakuna marking scheme mahali, itategemea anaeulizwa ana taarifa za kutosha kiasi gani kuhusu alichoulizwa 🐒
😀😀 Mkuu Tulia mtu makini sanaTibaijuka = Messi
Tulia = Ramadhani Singano
Waliowekwa wanashabihana ?Hii inaonesha kuwa nafasi siyo Kiongozi na Kiongozi siyo nafasi. Ni aina fulani ya demokrasia inayozingatia muda
Mwanzo alisema atagombea ubunge badae akasema hatagombea anastaafuKassim katumbuliwa au muda wake umeisha?
Alikua anajitahidi kupiga kaziBashungwa sijui alizingua wapi duh
Gentleman,Tatizo mkuu unajibu vitu kisiasa zaidi lakini sio kiprofessional na hili jambo limepeleka nchi yetu unafiki umekua utamaduni mzuri mfano unakuta barabara ina Mashimo kila sehemu Ila njia nzima kuna mabango "mama hatukudai"
Kiufupi unamaanisha mfumo ulikua unambanaTulia ana akili Sema hatujajua kutumia akili zake ,ulivyokua unamuona kobe juu ya mti ujue kapandishwa.Yule big brain Sema sasa ndio hivyo alikua ana autonomy. Unajua Tulia ni watu akina Tibaijuka.