Viongozi Simba acheni kiburi, mtaturudisha enzi za akina Jimmy David Ngonya, Morrison anahitajika Simba

Hatutaki wachezaji wanaobahatisha game au wanaocheza kulingana na jinsi wanavyoamka! Leo anapiga vizuri, na keshokutwa hovyooo!
Acha wapishe nafasi tusajili wengine ambao wanakimbiza fresh kila game!
 
Ni kweli, halafu hana mwendelezo. Akicheza vizuri mechi moja, zinazofuata anakuwa hana msaada wa maana.
Ananikumshia kijana Pogba wa Man Utd. Atacheza mechi moja kali sana na kuonekana mchezaji wa kiukweli then mechi inayofuata anakuwa useless. Ndiyo maana Mourinho alikuwa hapendi kumchezesha mechi kubwa kubwa kwa sababu hajuwi kudefend hata kidogo.
 

Wakiendelea na ujinga tutawasusia timu wabaki nayo. Chama yupo nje kwa sababu gani?. Timu haina kiongozi. Very stupid viongozi.
 
hizo pumba kaongelee kitandani kwako na mkeo chumbani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…