Viongozi Simba fukuza upesi hawa Wanachama wote walioenda Yanga leo!

Kumbe wewe ni mbumbumbu namna hii,ata nilikua sijui.
 
Wana simba wenzangu msihangaike na jerry muro mpuuzi aliyekosa maana maneno anaehangaika kumridhisha boss wake muhindi kwa kupanga deal za kitoto kuweka wanachama wasiyojielewa wa simba kwenye press conference ya yanga wakati ni pesa ndogo tu na sisi tukitaka kuweka wa yanga wanachama wao kwenye press yetu!
 
Uzi kama huu ndo huwa unakushusha hadhi sana,lengo kuu la michezo hapa duniani ni kuleta umoja na upendo.Wewe unahubiri chuki kwasababu ya rangi za 'JEZI' eti?...bure kabisa wewe.
 
Hata hivyo kama tujuavyo kuna Simba MADUME na Simba MAJIKE hivyo basi Simba DUME wote Kesho watafuata haya niliyoyasema na Simba JIKE mliobaki mtawasaidia Yanga.
Kwa taarifa yako simba jike ni mkali kuliko simba dume
 
Kwann sasa niishangilie Yanga?
Kwan imekuwa Tstars? Wafie mbele huko na kesho nawaombea dua wafugwe adui tangu lin akaombewa mema
Hata wakishinda ili wafurah zaid lazima watukejeli na kututukana wanaSimba
Leee gademuuu Yanga F......ck uuuuuuuu na mfungwe 3_1
 
Hata hivyo kama tujuavyo kuna Simba MADUME na Simba MAJIKE hivyo basi Simba DUME wote Kesho watafuata haya niliyoyasema na Simba JIKE mliobaki mtawasaidia Yanga.
simba dume kila cku linapigwa!!!!litakuwa si rizki
 
Kwa utabiri huu wa babu,hamna haja ya kwenda uwanjani Kwani mpira ushachezwa tayari.
 
We
simba wote tunaenda shangilia yanga kesho we endelea na upuuzi wako
Wewe huwezi kuwa mshabiki wa Simba, hakuna mshabiki wa Simba eti aishangilie Yanga kitokee nini, jipe moyo majibu uwanjani yaani yanga ipigwe bao Shabiki wa Simba akae kinyonge. Mashabiki wa Yanga vaaeni jezzi za Simba ili muonekane ni mashabiki wa Simba mnaishangilia yanga.
 
Hahahahahahhahahahahahahah dah huyo GENTAMYCINE dah nafurahia sana post zake juzi yanga leo simba tena kindakindaki hapo hapo kasema yupo Kigali anajiandaa kuja na kagame yeye PSU hahahahahahhahahahahahahah hahahahahahhahahahahahahah dah furaha sana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwan simba ni kabila mtu asibadirishe?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…