Viongozi Simba fukuza upesi hawa Wanachama wote walioenda Yanga leo!

Viongozi Simba fukuza upesi hawa Wanachama wote walioenda Yanga leo!

Tumetofautiana sana katika kuelewa jambo na kulitafsiri hasa katika kulileta katika maana au dhania halisi na hili pia linatokana na malezi ya kiakili aliyokuzwa nayo mlengwa. Utafute wimbo mpya wa Wagosi wa Kaya uitwao " BAO " ambao Watu wengi wenye uelewa wa aina yako ulipoanza tu kupigwa redioni walikurupuka na kusema kuwa akina Dokta John na Mkoloni waliimba " matusi " ila kwa mwenye AKILI timamu akiusikia ule wimbo kwa umakini kabisa na kujenga maana utajua kuwa Wagosi wa Kaya hawakutukana. Bahati nzuri sana SIFA yangu kubwa ni KUJIAMINI huku nikijua kuwa naelewa ninachokifanya. Lakini kama haitoshi katika Somo zima la uandishi kuna kitu kiitwacho IMPLYING ambacho hutumiwa sana na Waandishi wa Critical and very sensitive issues na Cartoonist wote huitumia mno hii mbinu hasa hasa GADO wa Gazeti la The East African ambayo hata KISHERIA haimfungi aliyeandika au kuchora kwani anakuwa hatumii direct words au meaning na ukiona unaumia na IMPLYING iliyotumika basi jua umejishtukia au dongo limekuingia. Huwa napenda sana kutoa lecture kwa " slow learners " wa aina yako na ni imani yangu leo umejifunza kitu / jambo ili siku nyingine usidharaulike mbele ya " majiniasi " humu.
jinias uwe wewe!mbona unashindwa kuwasaidia kina Hans poppe kumsajilia kocha ajae wachezaji?muro kiboko yako na mwaka huu mtanyooka
 
Sisi simba kesho lazima tuwasapoti wenzetu wewe ubaguzi peleka kwenu
Wewe na nani?! Kwanini usiseme wewe na baadhi ya mashabiki wengine wanafiki wa simba?!
Haijawahi kutokea kushangiliana na usifanye hvyo kwa unafiki,SIMBA NGUVU MOJA!
Kamwe siwezi kujivika kilemba cha ukoka kushangilia YANGA hasirani!
 
Mimi, mke wangu na watoto wangu. Una lingine?
 
Yanga is doing a good job..siipendi lakini nai support
Mhhh wewe ni shabiki simba kweli? Yaani hata Kama yanga inatakiwa iifunge timu flani ili simba isishuke daraja Niko tayari kuisuport hiyo nyingine ila sio yanga.
 
Mhhh wewe ni shabiki simba kweli? Yaani hata Kama yanga inatakiwa iifunge timu flani ili simba isishuke daraja Niko tayari kuisuport hiyo nyingine ila sio yanga.
kwa Sababu wewe siyo shabiki wa mpira
 
Back
Top Bottom