Viongozi Simba fukuza upesi hawa Wanachama wote walioenda Yanga leo!

jinias uwe wewe!mbona unashindwa kuwasaidia kina Hans poppe kumsajilia kocha ajae wachezaji?muro kiboko yako na mwaka huu mtanyooka
 
Sisi simba kesho lazima tuwasapoti wenzetu wewe ubaguzi peleka kwenu
Wewe na nani?! Kwanini usiseme wewe na baadhi ya mashabiki wengine wanafiki wa simba?!
Haijawahi kutokea kushangiliana na usifanye hvyo kwa unafiki,SIMBA NGUVU MOJA!
Kamwe siwezi kujivika kilemba cha ukoka kushangilia YANGA hasirani!
 
Mimi, mke wangu na watoto wangu. Una lingine?
 
Yanga is doing a good job..siipendi lakini nai support
Mhhh wewe ni shabiki simba kweli? Yaani hata Kama yanga inatakiwa iifunge timu flani ili simba isishuke daraja Niko tayari kuisuport hiyo nyingine ila sio yanga.
 
Mhhh wewe ni shabiki simba kweli? Yaani hata Kama yanga inatakiwa iifunge timu flani ili simba isishuke daraja Niko tayari kuisuport hiyo nyingine ila sio yanga.
kwa Sababu wewe siyo shabiki wa mpira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…