Helow!
Tusijisahaulishe kuwa, toba huanza kwanza, Kisha sadaka hufuata baadaye.
Uraiani tunawaulizeni, wapi alipo ndugu Soka na wenzie, badala ya kutujibu wapi waliko, mnawahi madhabahuni kusogeza sadaka!
Mmesahau kuwa sadaka pia hukataliwa? Ikiwa hatusomi maandiko, tukumbuke sadaka ya vipande 30 vya fedha alivyohongwa Judas ikiwa vilipokelewa au la.
Tusubiri Karma..