figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Salaam Wakuu,
Mifereji ya damu za binadamu inayoelekea Kizimkazi.. Kila mtu kaiona
Kila Mtanzania anayo haki ya kuchagua chama. Hata kuwa CCM sio tatizo.
Ila tatizo linaanza pale kija chini ya Miaka 40 anajitoa ufahamu na kusaliti Vijana wenzie, ndugu zake taifa lake kisa awamu hii ya Wazee. Awamu yenyewe haina haitakuwa na uhai wa miaka 6.
Kipindi cha Korona huko Ulaya Wazee walikufa sana, kwasababu Taifa lilijikita kuokoa Vijana na watoto kwani ni Taifa la kesho. Wazee walijua hawana tija zaidi ya kuitegemea Serikali.
Leo hii Kijana unakuta anajitoa ufahamu anaanza kutetea Wazee wakina Wasira, Makala, Nchimbi, Miengo sijui wakina Samia. Wa kazi gani?
Tengenezeni kesho yenu na watoto wenu.
Vyeo na pesa ni tamu.
Viongozi mliopo madarakani, mumepewa kichwa ila msile na masikio.
Awamu ya sita hadi sasa hakuna la maana walichofanya hadi baadhi ya miradi ya Magufuli wameshindwa kuimaliza.
Watu wanamwaga damu zisizo na hatia, Vijana mnaopewa uzoefu wa uongozi mnajipakaza damu hiyo ya binadamu kwa kuzawadia Kanga, tisheti na Kofia.
Vijana wenzenu wanawategemea.. Jifunzeni kufanya kazi sio kufanya uovu..
Hiki kizazi cha Samia ndo kinaondoka..
Wataanza kuitwa Wastaafu. Tusikubali watuharibie Nchi.
Tuungane tushikane mikono.
Kama hawtaki kufanya mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi, Watanzania tutajitenga nao.
Tucheke nao mchana usiku tuwang'ong'e.
Hawana jipya.
Samia amalize ngwe Yake ili Watanzania tujenge Nchi yetu. Kwa ufupi ni kwamba hii awamu tumeambulia patupu.
Na wananchi wa kawaida hatuna la kufamya labda Wajomba watusaidie.
Kwa Samia tukubali maumivu, tulilamba galasa
Uzuri hana muda mrefu.
Tutapata rais Mtanzania mwenye uchungu na Nchi.
Hata Wazee wa Kizimkazi wanashangaa kapataje Urais.