Viongozi wa ACT Wazalendo Wakamatwa kwa Tuhuma za Kufanya Misa ya Kumuombea Dafroza Bila Kibali cha Polisi

Viongozi wa ACT Wazalendo Wakamatwa kwa Tuhuma za Kufanya Misa ya Kumuombea Dafroza Bila Kibali cha Polisi

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo Ndugu Dorothy Semu amekamatwa jioni ya Marchi 17, 2025 pamoja na viongozi wa Ngome ya Wanawake na wa Mkoa wa Kagera wakati ya misa ya kumuombea Marehemu Dafroza aliyekufa kwenye mikono ya polisi katika Uchaguzi Mkuu wa 2025.

Wengine waliokamatwa ni Katibu wa Mkoa wa Kagera R. Kashonde, Mwenezi Shaf Hassan, Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake Taifa @janethuriourio Janeth , pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa Ngome ya Wanawake Taifa Savelina Mwijage.

Inadaiwa wanashikiliwa kwa tuhuma za kufanya misa bila kibali cha polisi.

 
Hii Nchi ilipofikia ni Mungu ndiyo anajua

Hivi kufanya maombi ya kuwakumbuka marehemu nalo ni kosa 🙌

Inaonekana tumeingia mfumo wa vyama vingi kimakosa, turudi tu chama kimoja
 
Hii Nchi ilipofikia ni Mungu ndiyo anajua

Hivi kufanya maombi ya kuwakumbuka marehemu nalo ni kosa 🙌

Inaonekana tumeingia mfumo wa vyama vingi kimakosa, turudi tu chama kimoja
Afrika tulidai uhuru kindezi sana. Tulitakiwa tuanze sasa!
 
Afrika tulidai uhuru kindezi sana. Tulitakiwa tuanze sasa!
Sisi Uhuru tuliupata kwa kupewa, ndiyo maana tumezalisha Taifa ambalo kuna watu wanajiona wana haki zaidi kuliko wengine 🙌

Ndiyo maana wana thubutu kuwapangia wengine wawaombee wapendwa wao ama wasipewe nafasi ya kuombea
 
Back
Top Bottom