Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Afrika tulidai uhuru kindezi sana. Tulitakiwa tuanze sasa!Hii Nchi ilipofikia ni Mungu ndiyo anajua
Hivi kufanya maombi ya kuwakumbuka marehemu nalo ni kosa π
Inaonekana tumeingia mfumo wa vyama vingi kimakosa, turudi tu chama kimoja
Sisi Uhuru tuliupata kwa kupewa, ndiyo maana tumezalisha Taifa ambalo kuna watu wanajiona wana haki zaidi kuliko wengine πAfrika tulidai uhuru kindezi sana. Tulitakiwa tuanze sasa!