Corticopontine
JF-Expert Member
- Sep 20, 2019
- 666
- 1,277
Pamoja na Afrika kuwa na utajiri wa rasilimali zote lakini waafrika si tu kwamba hawafaidi rasilimali zao lakini pia zimewatesa sana rasilimali zao kwa vita za kuchonganishwa.
Afrika imebarikiwa hata hali ya hewa ya Afrika inavutia lakini viongozi wetu wanaongoza kuwatukuza wakoloni wa kizungu na kichina kwa kuamini vitu bora vinatoka Ulaya.
Limeibuka swala la Corona limepelekea waafrika weusi Marekani Ulaya na Uchina kunyang'anywa Ventilator na wanajifia
Imefikia hatua mbaya sana Wachina wanawafukuza Waafrika majumbani inauma sana. Mimi ninasema wazungu wana huruma kidogo kuliko Wachina. Mimi ningekuwa na onelea tuwafurushe wachina wote tunaoishi nao Afrika.
Viongozi wa Afrika wekeni mazingira rahisi ya watoto wenu kupata riziki hapa hapa Afrika.
Kwa mfano, Waafrika wengi kukimbilia kusoma China ni kutokana na mazingira magumu ya watoto kutimiza ndoto zao kwa mfano kwa Tanzania mtoto kusoma udaktari kwa sasa imekuwa kama unatafuta tiketi ya kuingia mbinguni lakini wenzetu wameweza vipi very painful sana.