jodac
JF-Expert Member
- Apr 9, 2014
- 339
- 371
Kwanza nimpongeze Hon. D. Trump kwaujasili wa kuiondoa USA katik ufadhili wa WHO. Binafsi naona kama anania ya kufikirisha akili za viongozi wa nchi masikini kutumia vizuri makusanyo yao ya ndani badala ya kununua samani na magari ya kifahari.
Pia, nifulsa kwa raia wenye akili bunifu katika sekta mbali mbali kupata ajira, kwani Dunia inataka watu ambao wanamajibu ya changamoto zinazo jitokeza.
Aidha kuna watu wanahofu kwamba itakuwaje kwa wagonjwa wa HIV/AIDS na wengineo ambao walikua wananufaika na ruzuku kutoka serikali ya USA.
Binafsi namtazamo tofauti, nashauri wagonjwa hao walipie hizo dawa kama ambavyo wanalipia wakiumwa magonjwa kama Typhoid, Malaria n.k Tatizo tulizoeshwa kupewa bure lakini siokwamba wakiambiwa walipie watashindwa.
Nakama watakuwepo watakaoshindwa basi wapatiwe msamaha kama wanavyo patiwa wagonjwa wengine.