Viongozi wa Afrika wanafanana uwezo wa kufikiria

nbayoungboy never broken

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2025
Posts
383
Reaction score
372
Unakuta viongozi wote wa Afrika matatizo yanafanana. Hawana sera zozote za maendeleo wa kikaa kwenye kiti wamekaa na kujiona wako juu hicho ndo kitu wanataka.

Ni tofauti na nchi za mwarabu kidogo wana uelewa. South nae awashukuru wazungu kubakizwa lakini hii ngozi na ubabe damudamu.

Tutasanda hakuna matumaini kwa ngonjera hatujambo. Rais yupi wa Afrika ulishawahi kupigiwa makelele na mandamano akabadili mitazamo na kuanza kujenga nchi.

Mtapambana sana hata wewe ukiwekwa ukikalia tu kile kiti ni yale yale tuikubalieni nature na makuzi tunayo kuwa nayo hayako kama tunavyo force iwe IQ 45
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…