MakinikiA
JF-Expert Member
- Jun 7, 2017
- 5,840
- 8,202
Hawa viongozi wa Africa mimi binafsi nikiwatathimini na kuwatafakari utafikiri hawana Elimu na Hekima.
Tuanze na hili Mseven kupitia Uganda amegundua mafuta ila mpaka leo plan yake kuyasafirisha mafuta kupeleka Ulaya yakasafishwe halafu hayo hayo mafuta atayanunua kuyaleta Uganda huu ni UPUUZI na UZWAzWA.
Tuje hapa Tanzania serikali haina storage ila ina shirika la mafuta kazi yao kubwa ni UDALALI wa mafuta sio oparation linapokuja jambo gumu wanampigia magoti anayeagiza mafuta huu ni UZUZU
Wameshindwa kumpa mtanzania gesi asilia basi hiyo inayotoka nje ya nchi agizeni wenyewe siyo kuwapa Madali mtamkomboa mtanzania.