Ulaya na Marekani walikuwa hivyo Karne za nyuma hadi pale nguvu, madaraka na utawala zilipo kabidhiwa mikononi mwa wananchi!Hawa viongozi wa Africa mimi binafsi nikiwatathimini na kuwatafakari utafikiri hawana Elimu na Hekima.
Tuanze na hili Mseven kupitia Uganda amegundua mafuta ila mpaka leo plan yake kuyasafirisha mafuta kupeleka Ulaya yakasafishwe halafu hayo hayo mafuta atayanunua kuyaleta Uganda huu ni UPUUZI na UZWAzWA.
Tuje hapa Tanzania serikali haina storage ila ina shirika la mafuta kazi yao kubwa ni UDALALI wa mafuta sio oparation linapokuja jambo gumu wanampigia magoti anayeagiza mafuta huu ni UZUZU
Wameshindwa kumpa mtanzania gesi asilia basi hiyo inayotoka nje ya nchi agizeni wenyewe siyo kuwapa Madali mtamkomboa mtanzania.
Nasikitika kukubali kile kilichotokea October 29 ni mwanzo wa kuheshimiana. Leo wameandamana hawana silaha unawaua, siku nyingine hawataandamana tena na bahati mbaya hawataupinga utawala wako wakiwa mikono mitupu.Ulaya na Marekani walikuwa hivyo Karne za nyuma hadi pale nguvu, madaraka na utawala zilipo kabidhiwa mikononi mwa wananchi!
Kule viongozi wana hofu wakifanya tofauti wananchi watahoji! Kumbukeni kabla hawajawa na hofu waliwahi kujifungia Berlin na kugawana Africa.
Huku Africa wananchi bado wapo usingizini wakiota ndoto kuwa ipo siku viongozi wao watabadilika kuwa wema!
Hizo transformation haziji kirahisi rahisi bila misingi madhubuti ya elimu na moral audacity.
Tukiendelea kuwaachia viongozi waliojipachika madarakani kwa njia haramu waiwazie Africa mema tutafika hatua hatuna rasilimali zozote za kuiendesha!
Unchecked power is addictive for corrupt and unhinged African politicians!
Hawana la kujifunza zaid ya kujifunza namna bora ya kujiimarisha kiichumi wao na familia zao!!!Hawa viongozi wa Africa mimi binafsi nikiwatathimini na kuwatafakari utafikiri hawana Elimu na Hekima.