AirtelTanzania
Wekeni sawa kwenye app yenu ya Kyc ya usajili.
Wekeni file ianze sehemu ya kuweka alama ya kidole alafu ndio idhini ya TCRA kama mitandao mingine.
Au kama inaanza na uidhinishaji basi ikubali kurudia kuweka kidole kilichokataa pale tu baada ya kukituma.
Maana kuna wateja wengine fingerprint zao ni changamoto, pia kuna wazee.
Au ikiwezekana ukituma kidole kikikataa basi iwe na uwezo wa kurudia bila kukutoa katika system.
Au hata kama inakutoa basi ukiwa umerudi irudi kwenye hatua ya 3 ya kidole moja kwa moja isiitaji uidhinishaji tena maana inakuwa imeshaidhinishwa.
maana hatua ya pili kwenye usajili ni uidhinishaji wa TCRA na ikiidhinishwa tena wanasema tayari imesha idhinishwa*.
pia wakati mwengine mtandao unakuwa haupo sawa kwenye kuchakata alama ya kidole hivyo ukitoka na kurudi tena laini ndio inakuwa imeshaharibika na haikubali tena mpaka nyengine, sasa na kama mteja alishafikisha sim card 4 na hii iliyogoma hapa inakuwa ya 5. Hivyo nida inakuwa imejaa.
mfano NIDA hii. 19400801.61625.0000.317 hii nida imefanya sajili iliyokamilika moja na ni ya mtu mzima. Imefelisha 4 kwa mfumo niliyouelezea hapo juu. Mpaka sasa haikubali tena yaani inasema imejaa.
UShauri wangu
Kianze kidole kwanza alafu idhini ya TCRA mwisho itapunguza hili tatizo.